Breaking
KITAIFA · DAR ES SALAAM
MWAKA 1992, Tanzania ilirejesha mfumo wa vyama vingi vya siasa tangu kufutwa mwaka 1964. Hatua hiyo ilitarajiwa kuongeza ushindani wa kisiasa, kuimarisha demokrasia na kuwapa wananchi chaguo mbadala la uongozi.
MONDAY, AUGUST 3, 2026
Breaking
KITAIFA · DAR ES SALAAM
MWAKA 1992, Tanzania ilirejesha mfumo wa vyama vingi vya siasa tangu kufutwa mwaka 1964. Hatua hiyo ilitarajiwa kuongeza ushindani wa kisiasa, kuimarisha demokrasia na kuwapa wananchi chaguo mbadala la uongozi.
Breaking
KITAIFA · KIGOMA
Miaka mitano ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan imeufungua Mkoa wa Kigoma kwa kufanya ufikike kirahisi, kupunguza gharama za safari na kufungua fursa za kiuchumi kwa wakazi wake.
Breaking
KITAIFA · DAR ES SALAAM
KABLA ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi, jina lake halikuwa kubwa katika siasa za Tanzania. Umaarufu wake ulijengwa zaidi katika kipindi cha mabadiliko hayo ya kisiasa kwenye miaka ya 1990, kwa kuibua hoja mbalimbali ikiwamo ya kutaka mgombea binafsi.
Breaking
KIMATAIFA · MAREKANI
Marekani imetangaza kutosalimu amri kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), huku Waziri wa Mambo ya Nje, Marco Rubio akisema taasisi hiyo haina mamlaka kuhusu wananchi wala mfumo wa sheria wa nchi hiyo.
Breaking
KITAIFA · ZANZIBAR
Wananchi wa Zanzibar watalazimika kujiandaa na gharama mpya za usafiri wa daladala kuanzia Agosti mosi, 2026, baada ya serikali kutangaza ongezeko la nauli katika ruti mbalimbali za Unguja na Pemba.
Latest stories from across MsomiHuru
More published news will appear here.
Markets, companies and money stories
Business stories will appear here once published.
Sports news and analysis
Sports stories will appear here once published.
Hand-selected by our newsroom
Editor's picks will appear once stories are published.
Create a free account or sign in to open publications, read PDFs, save stories, and personalize your edition.